Thursday, 2 June 2016

Wanopita barabara za mwendo kasi wachomolewe matairi yao na yauze - agizo la Magufuli

Rais John Pombe Magufuli achukizwa na uharibifu na matumizi mabaya ya miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi na kuagiza mamlaka zinazohusika ziwachukulie hatua kwa wasiofuata sheria.

Amewataka wachukue magari yao na wapeleke kituoni kisha wachomoe matairi ya watuhumiwa wauze na watakuwa wamepata biashara

Jamiifurums