Sunday 30 March 2014

Dada: shoga amenisababisha nifanye mapenzi kinyume na maumbile na mpenzi wangu. Twende na vitendo hapa kukipata kisa hiki cha kusikitisha.

Ilitokea maeneo ya Kiwalani jijini Dar es salaam ambako kijana mmoja wa kiume (jina limehifadhiwa) ambaye anashiriki mapenzi ya jinsia moja amemsababishia dada mmoja( jina limehifadhiwa pia) kushiriki tendo la ndoa kinyume na maumbile na mpenzi wake ili kumthibiti mume wake asiendelee kupenzika na shoga huyo.

Dada huyo alidai kuwa alifikia uamuzi wa kufanya hivyo ili kujaribu kulinda penzi lake lisiporwe na shoga huyo ambaye anasemekana kutoa vitu vya kumtoa nyoka pango.

Dada huyo alisema, ameshajaribu mbinu nyingi kumthibiti mume wake ili asitoke. Pia dada huyo alisema alifikia hatua ya kugombana na shoga huyo na kuzichapa ili kumkomesha.

Lakini hata hivyo, vita hiyo ya kutetea chake haikuwezekana ndipo dada huyo akafikia uanizi wa kumpa mumewe njia haramu ya kinyume na maumbile akidhani mume wake ataacha kutembea na shoga huyo kwa kuwa anachokipata kwa shoga huyo basi akipate kwa mkewe lakini bado njia hiyo pia haikuzaa matunda.

Kwa sasa dada huyo hajui atumie njia gani kutatua shida hiyo ukizingatia bado uhusiano wa mumewe na shoga huyo bado unaendelea kwa kasi ya ajabu.

Dada alisema kuwa anajiuliza ni kitu gani ambacho mume wake anapewa na shoga huyo ambavyo yeye hatoi.

Dada afanye nini!?