Imekuwa kawaida sasa kwa mwanadada Rihanna kupiga picha za uwazi. Hii ni picha mojawapo kati ya picha alizopiga kwa ajili ya jarida la Lui la ufaransa.
Baadhi ya picha za jarida la Lui
***************************
Ukiachana na hilo, mtandao wa Instagram nao umempiga marufuku kuweka picha za uwazi kwenye mtandao huo ambazo zinaonekana kuvuka mipaka ya sheria za mtandao huo.
Moja ya picha zake za Instagram