Saturday 5 April 2014

Utamu wa tendo la ndoa sekunde 3 tu inakuwa vile, Je saa 3 mfululizo! Dada huyu alikuwa anajiskia hivi.

Ni ajabu sana kusikia mtu anapata 'orgasm' kwa muda wa saa 3 mfululizo na pia unaweza kuhisi mtu huyo anapata raha ilioje.

Liz mkazi wa Settle mwanamke (kwenye picha hapo chini) ambaye alikuwa na tatizo la kupata 'orgasm' (kufikia kilele) kwa muda wa saa 3 mfululizo mara 12 kwa siku.

Hapo mwanzo tatizo hilo alikuwa akilipata wakati wa tendo la ndoa pekee lakini baadae alianza kulipata wakati wowote mahali popote mfululizo.

Pia tatizo hilo baadae lilikuwa likimtokea hata wakati anatembea mitaani.

Jambo lililompelekea kupata kero kubwa kutokana na usumbufu alioupata na kuamua aende hospitali kupata tiba.

Ni tatizo ambalo lilimpa tabu sana daktari kugundua aina ya ugonjwa aliokuwa nao Liz.

Baadae daktari aligundua kuwa Liz alikuwa ana tatizo la bipolar disorder tatiza linaloathiri uwezo wa kufikiri au mawazo ya mtu (depression)


Hivyo basi, Liz alitakiwa kutumia dawa aina ya anti depressants ambazo atazitumia hadi mwisho wa maisha yake ili kuzuia tatizo hilo. Dawa aina ya anti depressants anazotumia Liz.