Wafungwa wapata hasira juu ya huyu jamaa aliyembaka mtoto wake wa kiume wa kufikia mwenye mwaka mmoja.
Ripoti zinasema kuwa, Daryell Dickson Meneses Xavier ambaye alikiri mwenyewe kumbaka na kumuua mtoto wake wa kufikia amebakwa ma wafungwa wenzake 20 wenye hasira kwa kile alichokifanya.
Taarifa zinasema kuwa jamaa huyo alibakwa na wanaume 20 na kuharibiwa vibaya kuanzia mgongoni hadi sehemu zake za siri.
Baadae wafungwa hao wenzake walionekana kutotimiza kiu yao na kumrudia tena na kumbaka tena.