Mwanamke mmoja wa Zimbabwa amemuunguza mume wake na mafuta ya kupikia yaliyochemka baada ya kuwa na ugomvi.
Taarifa zinasema kuwa, mume aliyemwagiwa alipata maumivu makali pamoja na majeraa makubwa usoni yaliyomsababisha alazwe hospitali.
Inasemwa kuwa baada ya malumbano, mume alienda kulala wakati ambao mke aliutumia kwenda kumwagia mumewe mafuta yaliyochemka usoni.
Mke huyo alikamatwa na kufunguliwa mashtaka haraka sana.
Hasira zingine hizi wanawake!?
Omgghana via News day