Taarifa zilizopo kwa sasa ni kwamba, waziri mkuu wa Australia
Tony Abbott ametangaza kuwa satelite ya Australia imenasa picha inayoonyesha vipande viwili vya mabaki ya ndege.
Mabaki hayo yanasadikiwa kuwa ni ya ndege ya Malaysia iliyopotea yameonekana kusini mwa bahari ya hindi ambako vyombo vya majini vya Australia vilikuwa vikifanya uchunguzi.
Kwa taarifa zaidi endelea kumfuatilia vitendo.