Kobe anogewa na busu, ang'ang'ania mdomo wa jamaa na kugoma kuachia. Huyu jamaa nae! Ebu mfuate vitendo hapa upate kumwona huyo jamaa mwenye penzi la dhati kwa kobe wake.
Jamaa huyo wa kichina akijiandaa kumpatia Kobe wake busu la kimuaga.
Baada ya kumbusu nae akabusiwa na kung'ang'aniwa mdomo wake wa juu hali iliyompelekea akimbizwe hospitali kwa msaada wa madaktari.