Tuesday, 18 March 2014

Chris Brown sasa ataanza kunuka muda si mrefu. Fuatilia hapa kupata sababu ya jamaa kunuka.

Hadi atakapomaliza adhabu yake  Chris Brown atakuwa ananuka kufuru.

Hii ni baada ya kutupwa jela, taarifa  zinasema kuwa Chris anaruhusiwa kuoga mara moja tu ndani ya siku mbili akiwa humo jela jambo linaloweza kumsababisha kutoa harufu kali.

Kifungo hicho anachokitumikia hadi tarehe 23 april ni baada ya kuvunja sheria wakati yupo Rehab.