Kwenye picha hapo chini ni mkurugenzi mtendaji wa benki ya National Bank of Commerce (NBC) Mizinga Melu akigawa biskuti kwa watoto yatima wakati alipotembelea katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Msimabazi Centre wakati wa wikiendi. Pia ametoa vyakula.
Chanzo, the Guardian.