Imetokea huko Ghana, ambako watoto wadogo kadhaa wamekamatwa na polisi kwa kile kilichodaiwa kuwa walikutwa wako bize wakiangalia video za ngono kwenye banda la video. Cha ajabu sasa, watoto hao walikuwa na watu wazima 18 ndani ya banda hilo ambao pia walikamatwa. Ukiachana na kutazama video za ngono, watoto hao walikutwa wakicheza mchezo 'game' ya ngono kwenye banda hilo. Jamani watoto waangaliwe!.
Via Daily Graphic, Omgghana