Imetokea leo asubuhi wilayani Ruangwa mkoani Lindi ambapo jamaa huyo (pichani) Musa Chilungo alivunja nyumba ya jirani yake na kuiba redio na baada ya kutoka nje Chilungo alijikuta ameshazingirwa na umati na kuanza kumshushi mvua ya kichapo.
(Picha na Octavian Nnunduma)