Saturday, 26 April 2014

(Picha) Rihanna apiga picha za jarida la Vogue la Brazil huku nanii zake zikiwa zinaonekana

Rihanna Baadhi ya picha alizopiga kwa ajili ya jarida la Vogue la Brazil huku akipata nafasi ya kukava erufi moja na kichwa chake, erufi ya jina la jarida hilo ambayo ni 'G'. Via Omgghana