Thursday, 2 June 2016

Uongozi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam kimetangaza kufuta ratiba za masomo leo Juni 2

Uongozi wa chuo kikuu cha Dar es salaam umetangaza kufuta ratiba zote za masomo chuoni hapo katika siku ya leo ambapo Rais Magufuli anatarajiwa kufika chuoni hapo kwa lengo la kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa maktaba ya kisasa.

Sambamba na hilo pia ratiba yaziara hiyo ya rais Magufuli imebadilishwa sasa na baada ya kumaliza uwekaji wa jiwe la msingi katika maeneo ya Yombo ataelekea katika uwanjawa mpira wa Chuo hicho ili kuweza kuwahutubia wanafunzihao na taifa kiujumla.

Furahiamaisha