Katika kuonesha jinsi gani Ali Kiba anawakubali mashabiki zake amepanga kuwafanyia hili ili kuwaonesha jinsi anavyowakubali.
Amepanga kuanza kuwafollow mashabiki zake huko Instagram.
“Nipo na utaratibu wa kuanza kuwafollow followers wangu kwa ajili tu ya kushow love na kila siku itakuwana utaratibu wake kwa wiki labda nakuwa na mfollow mtu mmoja halafunamtoa angalau watu waone kama kuna mtu fulani nilimfollow ila lazima awe shabikiwa Alikiba,” Kiba alisema.