Kocha wa mpira wa miguu Mghana, John Aidoo, 35, ambaye alifungua kituo na kuwakusanya watoto wadogo wa kiume kwa lengo la kuwafundisha mpira anashikiliwa na polisi kwa kuwalawiti baadhi ya watoto hao kwa kuwanyonyonyesha uume wake.
Imesemwa kuwa kocha huyo alifanya tukio hilo mara mbili kwa watoto watatu tofauti wenye umri wa miaka 10 na 13 ambao aliwanywesha mafuta aina ya Olive na kuwaamuru wamnyonye mpaka alipotimiza haja zake.
Kutokana na maelezo ya kamanda wa polisi anayeshughulikia makosa kama hayo, Appiah Sakyi,yalisema kuwa John Aidoo alifungua kituo hicho kwa lengo kuu la kufundisha mpira ila alichukua nafasi hiyo kuwaaribu watoto hao.
Mr. Appiah Sakyi, alisema tukio la kwanza lilitokea Disemba 2013 alipomwalika mmoja wa wanafunzi wake na kumnywesha mafuta na kumtaka anyonye uume wake na kumwamuru asimwambie yeyote kuhusu kilichotokea.
Tukio la pili alilifanya Februari, 20014 aliwachukua watoto wawili mpaka chumbani kwake na kuwapa mafuta na kuwaamuru kunyonya huku akiwataka wasimwambie yeyote kuhusu tukio hilo. Pia aliwaambia kuwa kwa kufanya hivyo watafanikiwa kielimu.
Siku chache baadae mtoto mmoja wa watoto wale akawaambia wenzake. Na baadae katika malumbano ya watoto wakaanza kumtania mwenzao kama mnyonya uume.
Ndipo baadae mama wa mtoto huyo akambana na kuwataja wengine na kumtaja aliyewafanyia hivyo.
Kocha John Aidoo alikana kufanya matukio hayo alipoulizwa na polisi.
Kocha wa mpira wa miguu Mghana, John Aidoo, 35, ambaye alifungua kituo na kuwakusanya watoto wadogo wa kiume kwa lengo la kuwafundisha mpira anashikiliwa na polisi kwa kuwalawiti baadhi ya watoto hao kwa kuwanyonyonyesha uume wake.
Imesemwa kuwa kocha huyo alifanya tukio hilo mara mbili kwa watoto watatu tofauti wenye umri wa miaka 10 na 13 ambao aliwanywesha mafuta aina ya Olive na kuwaamuru wamnyonye mpaka alipotimiza haja zake.
Kutokana na maelezo ya kamanda wa polisi anayeshughulikia makosa kama hayo, Appiah Sakyi,yalisema kuwa John Aidoo alifungua kituo hicho kwa lengo kuu la kufundisha mpira ila alichukua nafasi hiyo kuwaaribu watoto hao.
Mr. Appiah Sakyi, alisema tukio la kwanza lilitokea Disemba 2013 alipomwalika mmoja wa wanafunzi wake na kumnywesha mafuta na kumtaka anyonye uume wake na kumwamuru asimwambie yeyote kuhusu kilichotokea.
Tukio la pili alilifanya Februari, 2014, aliwachukua watoto wawili mpaka chumbani kwake na kuwapa mafuta na kuwaamuru kunyonya huku akiwataka wasimwambie yeyote kuhusu tukio hilo. Pia aliwaambia kuwa kwa kufanya hivyo watafanikiwa kielimu.
Siku chache baadae mtoto mmoja wa watoto wale akawaambia wenzake. Na baadae katika malumbano ya watoto wakaanza kumtania mwenzao kama mnyonya uume.
Ndipo baadae mama wa mtoto huyo akambana na kuwataja wengine na kumtaja aliyewafanyia hivyo.
Kocha John Aidoo alikana kufanya matukio hayo alipoulizwa na polisi. Via Daily Graphic