Thursday, 17 April 2014

Mastaa wa ngono: familia ilinichukulia hivi nilipowaambia nafanya ngono.

JOANNA ANGEL, alisema kuwa alipowaambia wazazi wake walipatwa na mshtuko kidogo, ila baba yake alionekama kama sitaki nataka. SHY LOVE, mama yake alisema " tayari umeshaenda shule na umeelimika na unauwezo sasa lakini elimu sio njia pekee ya kufikia ndoto zake, kama unaona ulichokichagua kipo salama kwako, endelea nacho". Baba yake yake ambae ni mlokole alionekana kupinga ila mtoto alimwambia baba kuwa yeye ujana wake ametenda maovu mengi lakini yeye hafanyi kazi hiyo kumuumiza yeyote ni kwa kuwa ndio kazi anayoipenda. TASHA REIGN, alisema kuwa mama yake alikuwa kama sitaki nataka yani hakuonyesha msimamo wake. Kaka yake alisema kuwa anamtia aibu. Dada yake nae alishtushwa pia na hakounesha kuvutiwa na maamuzi hayo huku mdogo wake wa kike alichukulia poa poa. CHANEL PRESTON, alipowaambia wazee, walionekana kukaa kimya ambacho hakitoa jibu lolote la ama wamekubali au la ila alisema kuwa yeye ni mkubwa sasa hivyo ana maamuzi yake. JESSICA DRAKE, alisema kuwa hakuwa karibu sana na mama yake na siku aliyomwambia aliwaka na kwenda kulifikisha kwa mzee ambaye hakuonekana kuwa na hali aliyonayo mama yake. Mzee alisema kuwa kwa kuwa hicho ndicho anachokipenda basi atakuwa pamoja nae na anampenda. Via News