Ni sehemu tu ya ugunduzi ambao umefanywa hivi karibuni.
Huko nchini Ghana imezinduliwa gari inayotumia betri badala ya mafuta.
Inatumia betri 13 ambazo zinaendesha mfumo mzima wa umeme kwenye gari hiyo inayoitwa “Kantanta Odeneho II”