Tuesday, 8 April 2014

Inakuwaje wake wenza wanapokutana maeneo!? Karrueche alifanya hivi alipokutana na Rihanna.

Hali ilikuwa mmmh!!! baada ya wake wenza wa zamani wa Chris, Rihanna na Karrueche walipokutana kwenye klabu moja.

Je unashisi kilitokea nini?

Baada ya Karrueche kugundua yupo ndani ya klabu moja na mke mwenza Rihanna aliamua kuepusha shari kwa kuondoka haraka sana.

Je kibongobongo ingekuwaje W na P wangekutana!?