Madada wengi wamekuwa na maumbile fulani katika miili yao wanayoyachukia na kutamani kuwa vile lakini hawajawahi kutamka laivu kuwa wanayachukia.
Lakini dada huyu, Kate Upton alipozungumza na The sun alisema laivu laivu kuwa anayachukia maziwa yake makubwa huku akisema anayatamani maziwa madogomadogo.
Eti anadai kuwa kwa kuwa yeye ni mtu wa kujiachia sana na kuvaa mavazi simpo simpo ambayo hayaendanagi na boobs zake kama inavyoonekana pichani ndio sababu kubwa ya kuyachukia hayo.
Via TMZ