Dada Luminita Perijoc, aliye na muonekano kama wa Angelina Jolie amemlazimisha dereva taksi kufanya nae mapenzi na kumchoma kisu mara sita baada ya kushindwa kufanya mara ya tatu.
Luminita Perijoc, 31, aliripotiwa kumvamia na kumvutia Nicolae Stan, 35, ndani ya nyumba alimokuwa anaishi mara baada ya jamaa huyo kwenda kumpelekea vinywaji.
(Dada aliyefanana na A. jolie)
Dada huyo mkazi wa Tulcea, mashariki mwa Romania, alimvamia jamaa huyo na kumvuta ndani na kumlazimisha kuvua nguo huku akimtishia kumchoma kisu.
(Jamaa aliyechomwa kisu)
Baada ya jamaa huyo kutotimiza amri ya kufanya mara ya tatu, dada huyo alimchoma kisu mara sita kabla ya jamaa kufanikiwa kutoroka na kuwaita polisi.
(Angelina jolie mwenyewe)
Baada ya kukamatwa dada huyo alikili makosa na alifikishwa mahakamani na kuhukumiwa kifungo kilichopunguzwa baadae baada ya kujitetea.
Nydailynews