Balozi wa Zimbabwe nchini Nigeria ameitwa akajieleze kwa sababu ya matamshi ya Rais Robert Mugabe kuhusu rushwa.
Mwezi uliopita Rais Mugabe alilalamika kuwa Wazimbabwe wanaanza kuwa kama Wanigeria wakitaka jambo lifanyike inabidi watie mkono mfukoni.