Mke aliyejulikana kwa jina la Zhang aliamua kumkata mumewe Han Mou nyeti zake kwa kile alichodai kuwa mumewe alikuwa na mpango wa kuishi na mwanamke mwingine huko china.
Tukio hilo lilitokea mara baada ya mume huyo kufikia maamuzi ya kutaka watengane.
Kwa kuhofia mume angeishi na mke mwingine, mke nae aliamua kumtegeshea mume dawa za usingingizi na kuzikata nyeti za mume wake na kuzitumbukiza chooni.
Baada ya mume kuamka alijikuta anavuja damu na kuhisi maumivu,na baada ya kuhitazama alikuta nyeti zimeondolewa na mkewe.
Mke huyo alipelekwa mahakamani kusikiliza mashtaka yake na alipewa dhamana huku akisubiri kusikilizwa tena kesi yake.
Zhang, mke aliyeondoa nyeti na mumewe.