Friday, 14 March 2014

Ukikanyaga tu moja ya viroba hivyo utalazimika kuchangia gharama za ujenzi wa daraja. Je, kwenu ipo hii!? Mfuate vitendo ukaone madaraja ya kwetu.

Walioshuulikia ujenzi wa daraja hilo wapo kila kona ya daraja wakisubiri wapitaji. Ni zoezi la kudumu hadi hapo mvua zitakapoisha.