Uhusiano wa Drake na bibie Rihanna sasa wawekwa hadhalani na wawili hao, kwa maneno mengine, si wa kificho tena.
Drake amesema, kwa sasa yupo na wakati mzuri sana ambao haliwa kuwa nao kitambo.
Bibie nae amesema, kila wakati anatamani kutumia muda mwingi na Drake kwani anajaliwa vizuri sana kuliko mtu yeyote yule aliyewahi kuwa nae.
Wawili hao walikuwa wakionekana sehemu mbalimbali wakiwa pamoja huku watu wakiendelea kujiuliza kinachoendelea bila kupata jibu.
Lakini kauli hizo zilizotolewa na wenyewe zimethihilisha kuwa wawili hao wapo sirias sasa. Si siri tena. ILA WATADUMU!?