Picha ikimwonesha raia wa Nigeria aliyevuliwa nguo na kuteswa na askari wa Afrika ya Kusini mjini Cape Town. Mfuate vitendo hapa kuiona picha hiyo na kwa mengi zaidi.
.
Tukio hilo lililoifanya serikali ya Nigeria kulaani sana tukio hilo la udhalilishaji kwa raia huyo wa Nigeria lililofanywa na askali wa Afrika ya Kusini.