Tuesday, 4 March 2014

Kufuatia Diss aliyoitoa 50 Cent jana kwa Rick Ross na P Diddy, alichokozungumza The Boss hiki hapa. Fuatilia hapa na vitendo kufahamu zaidi.

Rick Ross amesema kuwa 50 haitaji kujibiwa wala kulipizwa kisasi kwa uchokozi alioufanya.

Chanzo cha karibu cha The Boss  kimesema kuwa The Boss hatalipiza kisasi kwa sababu moja muhimu kwamba hamjali 50 na anamchukulia kama asiye na umuhimu kwake,  "...he doesn't give a crap about 50 Cent or anything he says -- he thinks 50 is IRRELEVANT".

Hii ni kufuatia uchokozi alioufanya 50 jana kwa kuposti picha inayowaonyesha Ross na Diddy  kama wanataka kubusiana na kumaanisha kuwa ni wapenzi wa jinsia moja.

Rich Ross na P Diddy. Picha ya uchokozi aliyoipost 50 Cent jana ikiwaonyesha Ross na Diddy wakitaka kubusiana.