Sunday, 16 March 2014

Angalia picha za vijana zaidi ya 500,000 walioalikwa uwanja wa taifa wa Nigeria kwa ajili ya mahojiano (interview) ya ajira na kutokana na purukushani za kugombea nafasi watu 16 wamefariki.

Vijana zaidi ya 5000 walioudhilia mahojiano ya ajira. Mwanamke aliyebebwa na askari alizimia baada ya puukishani uwanjani hapo.