Sunday, 16 February 2014

NUKUU KUTOKA KWA MWANANCHI WA KAWAIDA ALIYOITUMIA MTANGAZAJI WA CNN CHRISTIANE AMANPOUR KUMUULIZA RAISI JAKAYA KIKWETE KUHUSU MGAWANYO WA UCHUMI!

"Ebu angalia, watu pekee wanaofaidika na ukuaji wa uchumi na ugunduzi wa gesi ni viongozi wa serikali... watu wa kawaida kama mimi bado tumekwama kwenye umasikini".

kutoka kwa Erik Lawi (26), muosha magari.