Madereva wa Daladala Jijini Mwanza wamegoma leo asubuhi wakilalamikia kuhamishiwa kituo kipya pamoja na vitendo
vya kutozwa faini kubwa na trafiki.
Mgomo huo umesababisha adha kubwa ya usafiri kwa mamia ya
abiria jijini humo ikiwemo wafanyakazi kuchelewa kazini na wanafunzi kuchelewa shuleni.
Chanzo, Ipp media.