Monday, 17 February 2014

AMSHA AMSHA NA vitendo. NI MUHIMU KWAKO MSOMAJI WA vitendo blog.

Elimu ya chekechea ni msingi mzuri kwa mtoto ambaye anatarajia siku za usoni kuja kujiunga na elimu ya msingi, sekondari pamoja na elimu ya juu huku akitarajiwa kufanya vema.  

Inaaminika kuwa mtoto anapopelekwa shule ya chekechea atajifunza mengi na kuiandaa akili yake kufanya kazi vizuri katika masomo baadae.

Hivyo mzazi mwenye mtoto aliye na umri sahihi wa kufaa kwenda kujiunga na chekechea, mpeleke mwanao ili akapate kuiweka akili yake tayari kukabiliana na masomo ya baadae.