Mwanamuziki maarufu nchini marekani, Justine Bieber amepigwa picha kwenye sherehe moja akifanya mambo ya ajabu na mcheza uchi bar (stripper) ambaye anasemekana kuwa na umri unaolingana na mama yake Justine.
Justine amepigwa picha hiyo akiwa anabusu ziwa la dada huyo ambapo Justine anaonekana kushirikia na rafiki yake ambao kila mmoja anaonekana kushikiria ziwa lake.
Chanzo, TMZ.