Ukiachilia mbali mgomo wa wafanyabiashara unaondelea mikoa ya Songea na Musoma pia mkoa wa Dar es salaam nao umeonekana kuingia kwenye mgomo huo wa kugomea mashine za kutolea stakabadhi za kielekroniki.
hapo chini ni baadhi ya maduka maeneo ya kariakoo yaliyofungwa.