HIVI UBEBAJI HUU WA DAFTARI NDANI YA MIAKA SABA MFULULIZO, HALI YA MABEGA YA KIJANA HUYU YATAKUAJE!?.
Huyo ni mwanafunzi wa shule moja jijini Dar es salaam.
Mwanafunzi huyo alisema kuwa, wanatakiwa kubeba daftari kumi na mbili (12) na vitabu kumi mbili (12) kila siku ambavyo jumla unakuwa mzigo wa vitabu 24.