Saturday, 27 June 2015

Ronaldo nae anatia kauzibe uamisho wa Ramos Man U?

Cristiano Ronaldo ameripotiwa kukatisha mapumziko yake ili kujaribu kumshawishi staa mwenzie Sergio Ramos aendelee kuitumikia Real Madrid.
Chapisho la AS huko huispania limechapisha kuwa  Cr7 alimuita  Ramos wakati wa mapumziko yake huko Miami, Florida, kumsihi aachane na fikra za kwenda Manchester United.
(Mirror)
C. Ronaldo