Kuhusu,
Cristiano Ronaldo ft habari za uongo
Ni miezi kadhaa sasa tangu Cristiano Ronaldo afanye mkutano na waandishi wa habari na leo amefanya na kuyaongea haya.
Cristiano Ronaldo amesema kwamba habari za uongo zinazozushwa juu ya mipango yake ya baadae zikomeshwe na amesisitiza kuwa bado anaendelea kuitumikia Real Madrid kutoka moyoni.