Sunday, 27 April 2014

(Picha) Mama huyu ageuka ndege na kukimbilia mtaroni

Nigeria: Mama ambaye alijitambulisha kwa jina la Amudat Jimoh ambaye alikiri kutenda maovu bila kuyataja maovu hayo alikutwa amenasa chini ya mtaro wenye urefu wa futi 6. Baadhi ya mashuhuda walisema kuwa mama huyo ni mchawi ambaye amenasa wakati akiwa kwenye harakati. Pia mashuhuda walisema kuwa mama huyo aligeuka ndege wakati fulani na kukimbilia kwenye mtaro kama inavyoonekana pichani.

Mama huyo aliyegeuka ndege na kukimbilia mtaroni