Monday, 21 April 2014

(Picha) Kutana na wanawake waliowekewa kisaani kwenye midomo yao kama alama ya uzuri kwenye kabila lao.

Wanawake wa kabila la Suri linalopatikana nchini Ethiopia ambao wamewekewa kisaani kwenye midomo yao ya chini pindi walipofikia balehe ikiwa ni alama ya kuwakilisha uzuri wa mwanamke wa kabila hilo. Wanaanza kuwekewa kisaani kidogo na kuwekewa kikubwa kadri wanavyokuwa. Inasemwa kuwa, ukubwa wa kisaani ndo ukubwa wa maali. Via Daily mail