Bosi wa Man U, David Moyes yupo njiani kuachishwa kazi kama kocha wa Man U saa 24 kutoka sasa.
Ryan Gibbs ambaye ni mchezaji wa Man U anatarajiwa kuisimamia timu hiyo baada ya Moyes kuondoka hadi mwisho wa msimu ambapo kocha wa kudumu atakapopatikana.
Msemaji wa klabu ya Man U amekanusha suala la Moyes kufukuzwa ila taarifa za kuaminika zinasema kuwa kuondoka kwa moyes hakuepukiki.
Maamuzi haya magumu yanatolewa baada ya mfululizo wa matokeo mabaya tangu alipomrithi Sir.