Tuesday, 1 April 2014

Inaaminika kikombe hiki kilitumiwa na yesu. Njoo hapa na vitendo ukione kikombe hicho.

Wanahistoria waliofanya uchunguzi wamegundua kuwa kikombe hicho kilitumiwa na yesu. Kikombe hicho kilichokutwa kwenye makumbusho ya huko Uispania, inaaminika kuwa waislamu wa Misri walikiiba na kukipeleka Uispania ili kusaidiwa tatizo la njaa enzi hizo, wanahistoria wanasema.