Thursday, 24 April 2014

(Picha) Huyu mjapani jambazi sugu kaamua ajibadilishe uso ili polisi wanaomtafuta wasimgundue

Kushoto kabla ya upasuaji na kulia baada ya upasuaji
Mjapani mwenye historia ya ualifu nchini kwao na anasakwa na askali aliamua kila kukicha, aliamua kufanya upasuaji wa sura yake ili asijulikane. Vipi hatagundulika kweli!?