Saturday, 19 April 2014

Muonekano usio wa kawaida! Nywele zilizotengenezwa kwa manyoya ya mbuzi, maziwa na matope.

Hawa ni watu kutoka kabila la Himba linalopatikana huko Namibia wakionyesha nywele zao za kitamaduni