Kwa utafiti uliofanywa, wanaume wengi huwa hawawapendi wanawake wale wenye miili
kama midoli, yaani miili yenye mvuto uliokithiri ila utamani tu. Sababu zipo nyingi.
Wanaume wengi mara nyingi hawataki kuwaoa wanawake hawa kwa sababu ni wa kitamaniwa tu, ndiyo maana ukiangalia kwa umakini huwa wanawake wengi waliopo kwenye ndoa ni wa kawaida, ama wasiokuwa na mvuto wowote wa kimapenzi.
Na hii midoli huwa mara nyingi inazeeka bila ndoa ila ikiwa imechezewa zaidi ya mara elfu kumi na wanaume tofauti
tofauti.
Unaweza ukajiuliza ni kwa nini wanaume wengi wanawaoa wanawake wa kawaida sana ingawa
barabarani huwa wanakaribia kuvunja shingo zao kwa kuwageukia hawa sexy ladies wenye maumbile makubwa.
Hii inadhihirisha dhahiri kuwa wanaume hawa wanawatamani na huishia kuwatamani tu hawa wenye maumbile makubwa na si vinginevyo.
Mapenzi ya kweli huwa mara nyingi
huibuka na kukua taratibu baina ya
wapendanao. Haiwezekani ukutane na mtu ndani ya dakika moja peke yake na kumpenda, hilo halipo, upendo huchukua muda mrefu sana kujengwa.
Hata wapendanao huchukua muda mrefu kabla hawajatanabaisha
hisia zao ama hawajatakana kimapenzi kabisa.
Kwenye hili wenye maumbile makubwa huwa ni tofauti kwani punde baada ya kukutana na mwanaume, huambiwa wanapendwa na haichukui muda kabla ya wanaume hao kutaka kuwapitia ili aachane nae kwa kuwa mwanaume husika alitamani tu.
Daaah, kuna upendo kweli hapa ama ni kutamaniwa tu, wenye maumbile makubwa shughuli ipo.
**************************** Kwa mengi kuhusu mapenzi tembelea hapa; #sweetestlove2014.blogspot.com