Monday, 24 March 2014

Tindikali hatari jamani, ebu angalia huyu dada alivyoharibika, polisi nao hawafuatilii kesi yake ndani ya muda. Twende na vitendo hapa.

Anaitwa Naomi Oni mkazi wa London, alivamiwa na kumwagiwa tindikali Disemba 2012.

Kwa sasa anaogopa kutoka nje kutokana na kuharibika vibaya.

Anailaumu polisi kwa kushindwa kuifuatilia kesi yake tangu hapo.