Friday, 21 March 2014

Kwa wenzetu vazi hili ni kawaida ila kikwetukwetu si sawa kabisa maana daa, kama neti vile, vya ndani unaviona! Ebu twende hapa vitendo anakusubiri ukalione vazi tata.

Rihanna akielekea kupata chakula cha usiku.