Saturday, 1 March 2014

Kumbe kumwagiana tindikali bado kunaendelea!? Huyu shehe na mwanae wamwagiwa tindikali, ebu waone hapa.

Shehe Mustapha Mohamed Kiago kushoto mkazi wa Arusha na mwanae Halid,ambao walivamiwa na kumwagiwa tindikali na mtu asiyefahamika, hii ni wakati walipowasili hospitali ya Mount Meru Arusha jana kwa matibabu.