Saturday, 1 March 2014

Justine Bieber si mtoto tena, anagonga 20 sasa, muone hapa akizima mshumaa kwemye keki ya kusherehekea miaka 20 ya kuzaliwa, pia angalia na madiliko ya nywele zake pia tangu alipokuwa na miaka 12 hadi leo.