Thursday, 27 March 2014

Daa, mapenzi ya kweli ni raha sana! Dada ajikuta akiachia bila kujitambua eti kisa nanii. Hauko peke yako, vitendo yupo na wewe, twende.

Mapenzi ni kitu kitamu sana, yaani hata siwezi kukielezea. Ila huwa ni matamu zaidi pale utakapo mpatia mtu umpendaye na akupendaye kwenye sehemu stahiki. Ila ni
machungu sana, tena zaidi ya shubili pale utakapoingia mikononi mwa fedhuli na shetani asiyejali hisia za moyo wako.

Nyuso za watu wengi sana hung'aa kwa sababu wanajiamini kuwa wanapendwa na wako katika mikono salama zaidi. Hata hivyo,
kuna watu ambao wanadondosha chozi kila kukicha kutokana na haya mapenzi kuwatenda vibaya, na hivyo nyuso zao zimepauka kama muogo wa kuchoma kwa
kukosa matumaini, furaha na kujiamini.

Najua, ni lazima uwe sehemu moja wapo ya hizo mbili kwa sasa ama umeshaa zipitia zote na hivyo unasadiki maneno yangu.... Usijali,
ni masuala ya MAKOPAZ tu haya! Mawazo mabaya na yenye kukatisha tamaa yakikuandama, usisite kujisemea moyoni
mwako kimya kimya "IPO SIKU!".

Jamani makopaz, ebu nikupe ya binti huyu mrembo mmoja, anayejiita binti Hamisi, ni mkazi wa Tanga huyu. Juzi, binti huyu
alinitumia picha yenye umbo la LOVE kwa kueleza namna
mapenzi yalivyo matamu kwake. Unafikiri ni kwa nini?

Alitumiwa picha hiyo na mtu ampendaye sana katika siku ile ya wapendanao (Valentine day).
Aliniambia,

"Siku hiyo nilikuwa nimepanga nimnyime TUNDA lakini nilipoipokea picha hii kutoka
kwake, nikajikuta nikiwashwa KULIWA, hivyo nikajikuta nampa. Na sijawahi kuona raha ya KULIWA
kama siku hiyo maana nilijiona napendwa sana na hivyo nikampa yote kabisa, tena bila iyana!," alieleza binti.

Duh! mapenzi ya kweli ni raha sana!