Hivi ulishawahi kuwaona watoto wadogo kama hawa wakishiriki mchezo wa kubashiri timu (kubeti)!? Hivi watoto hawa wanapata wapi hela ya kuchezea mchezo huu!? Fuatilia hapa kuwaona watoto hao.
Watoto wenye chini ya umri wa miaka 18 wakiwa kwenye ofisi ya kubashiri timu za mpira wa miguu maarufu kama kubeti.