Hii ni hali halisi; Zitazame picha hizi zitakazokupa mengi ya kuzungumza, fuatilia hapa na vitendo kuziona picha hizo.
Barabara ya shule ya Uhuru maeneo ya Kariakoo jijini Dar es salaam ikiwa imejaa maji na kupitika kwa shida kutokana na mvua zilizonyesha siku chache zilizopita, maji ambayo yametuama kutokana na mitaro ya kupitishia maji kuziba.